Tangazo la Ufadhili wa Masomo kwa Kidato cha Tano - 2024
Ni Kwa Wasichana Waliofaulu na Kupata Division One Katika Kidato cha Nne Mwaka 2022 au 2023. Na Hadi Sasa Hawajaenda Kidato cha Tano, Ila Wangependa. Ninatoa Scholarship kwao Kusomea Barbro Girls School Dar Es Salaam au Kajumulo Girls School Bukoba. Masomo Yanaendelea na Haraka Ajisajili kwa Katibu Wangu Jesca Dotto (0686189605) kwa Maelezo Zaidi. Mwisho wa Usajili ni Tarehe 15 Septemba 2024. Profesa Anna Tibaijuka, Mwanzilishi wa Shule.