Matokeo ya Kidato cha Sita 2024 na Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2025

Matokeo ya Kidato cha Sita 2024 Asilimia100 ya Wahitimu Wote Wamefaulu Kwenda University au College.

Pia Inatangaza Nafasi za Kujiunga Na Kidato cha Kwanza kwa Mwaka 2025. Interview ni Ijumaa Tarehe 4 Octoba 2024, Saa 2 Asubuhi. Na Baada ya Hapo ni Kila Ijumaa ya Mwisho wa Mwezi.

Masomo ya Pre Form One Yataanza Tarehe 5 Octoba 2024.

Fomu Zetu Zinapatikana Shuleni Barbro Johanson, Msimbazi Centre - Ilala Boma (Chumba Namba 22), Arusha Fidelity 21 Century Au Unaweza Jaza Fomu Moja Kwa Moja Online Kupitia: Www.School.Co.Tz / Au Tembelea Tovuti Yetu: Www.Johatrust.Ac.Tz

Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana na Uongozi wa Shule: +255 222 926482 / 0754 063347 / 0757 063349 / 0765 880798. E-Mail: Barbroschool@Gmail.Com