Matokeo ya Kidato cha Sita 2024 na Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2025

Matokeo ya Kidato cha Sita 2024 Asilimia100 ya Wahitimu Wote Wamefaulu Kwenda University au College.Pia Inatangaza Nafasi za Kujiunga Na Kidato cha Kwanza kwa Mwaka 2025. Interview ni Ijumaa Tarehe 4 Octoba 2024, Saa 2 Asubuhi. Na Baada ya…

Barbro Johansson ni shule inayomsaidia mwanafunzi kufikia uwezo wake wa juu kitaaluma

Hakuna kitu kinachompa furaha mzazi kama kuona mwanaye anafanya vizuri kitaaluma. Ndiyo, nimetaja taaluma kwa sababu ndiyo urithi pekee wenye thamani katika maisha ya mtoto.Hakuna kitu kinachompa furaha mzazi kama kuona mwanaye anafanya…